Wadau wa Big Bon ambao ndio walionunua mechi ya Ngao ya Jamii ya Yanga na Simba wakiwa uwanja wa Taifa jana kabla ya gemu
Wadau wa Big Bon wakifuturu kabla ya gemu
Muasisi wa Bongo Fleva Saleh Jabir naye alikuwemo kundini
Mdau wa Big Bon akipuliza vuvuzela lake kabla ya gemu kuanza.
Picha kwa hisani ya Saleh Jabir






Mjomba,Nashukuru kweli manake nazidi kupata ufaham wa kwanini jana tulifungwa ile mechi.Hawa wadhamini ni SIMBWA tu sasa tutegemee nini tena kama sio kufungwa
ReplyDeletemimi nilikuwapo na saleh jabir jana alialikwa tu kwa hisani ya wafadhili kama mgeni lakini saleh mwenyewe aliweka wazi kuwa yeye ni yanga damu kama baba yake jabir.
ReplyDeleteKaka mwambie huyo Mdau wa Big Bon anaepuliza vuvuzela awe anafanya mazoezi bana kwa faida yake.
ReplyDeleteSi mwenyewe unacheki ki-SACCOS hicho na 'SPEA TAIRI' hizo?
Kudadadeki viti vya Neshno la Taifa tayari vimechanika, vya Kichina nadhani...
ReplyDeleteviti choka mbaya kweli bongo noma
ReplyDelete