WAZIRI WA UTALII WA SERIKALI YA ZANZIBAR,  BWANA ABDILAHI  JIHADI  (kati) AKIWA NA MUIMBIJI WA KICUBANI PEPE LOPEZ SANTANDER PAMOJA NA MTEMBEZAJI WATALII MAARUFU BWANA SABRY JUMA KATIKA MITAA YA MIKUNAZI PEPE YUKO KATIKA VISIWA VYA MARASHI YA KARAFUU KWA AJILI YA MATEMBEZI YAKE BINAFSI. HUU NI MSIMU WA UTALII NA WANANCHI WA ZANZIBAR NA SERIKALI YAO HUFANYA KILA JITIHADA KUWAFANYA WAGENI WAJISIKIE WAKO NYUMBANI KWA UKARIMU NA FURAHA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. PICHA MZURI SANA NA IMEPENDEZA NA PIA NAPONGEZA WAZIRI WA UTALI KWA UTENDAJI WAKE WA KAZI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...