Askofu Method Kilaini (wa tatu shoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari wanaounda chama cha waandishi wa habari Kagera baada ya kufungua mkutano wao mkuu ulifanyika katika ukumbi wa mtakatifu Francis Mwishoni mwa wiki, . kulia kwa askofu huyo ni Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii na kushoto kwake Rama Masselle wa RFA na star TV.
Home
Unlabelled
askofu kilaini afungua mkutano mkuu wa wanahabari mkoani kagera
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Kumbe askofu kilaini ni Journalist?
ReplyDeleteTumsifu Yesu Kristo, nimefurahi kumsikia askofu Kilaini tumemiss vipindi vyako kweli huku Dar es salaam, Mungu akupe maisha marefu.
ReplyDelete