Askofu msaidizi wa jimbo la kanisa Katoliki la Bukoba Methodius Kilaini   akifungua mkutano mkuu wa kuwachagua viongozi wapya wa chama cha Waandishi wa Habari mkoani Kagera. Mkutano huo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa mtakatifu Francis ulioko katika manispaa ya Bukoba.
Askofu  Method Kilaini (wa tatu shoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari wanaounda chama cha waandishi wa habari Kagera baada ya kufungua mkutano wao mkuu ulifanyika katika ukumbi wa mtakatifu Francis Mwishoni mwa wiki, . kulia kwa askofu huyo ni Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii na kushoto kwake Rama Masselle wa RFA na star TV.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kumbe askofu kilaini ni Journalist?

    ReplyDelete
  2. Tumsifu Yesu Kristo, nimefurahi kumsikia askofu Kilaini tumemiss vipindi vyako kweli huku Dar es salaam, Mungu akupe maisha marefu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...