Jumuiya ya Watanzania Uingereza leo wamejumuika East london katika msikiti wa Manor Park kuombea dua ndugu zetu waliotutangulia mbele ya haki katika ajali ya Meli pwani ya Nungwi huko Zanzibar. Hafla hii imeandaliwa na Zanzibar welfare community kwa pamoja na East Africa Foundation.
Wanajumuiya kwenye hafla hiyo
Dua kwa waliotutangulia mbele ya haki na kuwaombea waliojeruhiwa wapate nafuu haraka.
Picha na Ayoub Mzee
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...