Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011 wakionyesha shoo yao usiku huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar,ikiwa ni siku ya kilele cha kumpata mrembo wa Tanzania mwaka huu.Fainali hizi zinaendelea hivi sasa katika ukumbi huu wa Mlimani City,Jijini Dar na Globu ya Jamii ipo eneo la tukio kuhakikisha kila kinachojiri ukumbini hapa kinapatikana katika Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Asante kwa kunibania Comment zangu kuhusu umuhimu wa mashindano haya,may be you dont want to upset your sponsors!

    Michuzi oyee!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...