Salam,
URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea video fupi ya kibao kinachoitwa ''PAKA MWEUSI'' kutoka kwa Msanii Freddy Macha.
Kibao hiki kilichotungwa wakati Freddy akiishi Mwananyamala Kisiwani mwaka 1979. Kilikuwa kati ya nyimbo zilizoimbwa katika bendi ya Sayari iliyowika Bongo na nchi za Scandinavia kati ya 1980 hadi 1984.
Kwa mikoba zaidi na video za Mtunzi huyu hebu tembelea http://www.freddymacha.com
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
Aisee kaka, paka watakupenda ile mbaya!
ReplyDeleteKaka Michuzi mimi naomba Nimuache tu huyu jamaa watu wengine wanisaidie kumtukana. Jamaa kaharibu siku yangu kabisa. Duh!
ReplyDeleteHuyu wakutane na Kajumolo waanzishe bendi naona patakuwa hapatoshi kwani staili yao ya kuimba inafanana eh bongo tuna fivaa sio mchezo keep it up bro yule rasta wa ujerumani vipi na wale wakongo siku hizi? Qweman!
ReplyDeleteAsante Freddy! 'Very entertaining' kama mzungu anavyosema. Endelea kutuwakilisha, Sanaa, lugha na rangi zetu.
ReplyDelete