Salam,

URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea video fupi ya kibao kinachoitwa ''PAKA MWEUSI'' kutoka kwa Msanii Freddy Macha.

Kibao hiki kilichotungwa wakati Freddy akiishi Mwananyamala Kisiwani mwaka 1979. Kilikuwa kati ya nyimbo zilizoimbwa katika bendi ya Sayari iliyowika Bongo na nchi za Scandinavia kati ya 1980 hadi 1984.

Kwa mikoba zaidi na video za Mtunzi huyu hebu tembelea http://www.freddymacha.com

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Aisee kaka, paka watakupenda ile mbaya!

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi mimi naomba Nimuache tu huyu jamaa watu wengine wanisaidie kumtukana. Jamaa kaharibu siku yangu kabisa. Duh!

    ReplyDelete
  3. Huyu wakutane na Kajumolo waanzishe bendi naona patakuwa hapatoshi kwani staili yao ya kuimba inafanana eh bongo tuna fivaa sio mchezo keep it up bro yule rasta wa ujerumani vipi na wale wakongo siku hizi? Qweman!

    ReplyDelete
  4. Asante Freddy! 'Very entertaining' kama mzungu anavyosema. Endelea kutuwakilisha, Sanaa, lugha na rangi zetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...