Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wewe Gado bwana mchokozi kweli kweli!

    Si unaona wa Zambia ameutema mwenyewe pole pole, inafaa umpe hongera yeye na Mzee Kaunda aliyeanzisha sera ya kukubali matokeo bila mizengwe.

    ReplyDelete
  2. lakini Mugabe hafi. Mtakufa mtamuacha. Mbona mandela, watu wa kusini wanakula kago. Mzee Mwinyi bado yupo. Kuna mama ninafanya kazi nae Bibi yake ana miaka 120 na yuhai, wajukuu wanaondoka wanamwacha.

    ReplyDelete
  3. Gaddafu actually ndie yuko kaburini. Amekuwa kama Osama amekufa/Yuhai. NIRP. Osama alikufa zamani ila wamarekani walifanya mchezo wa kuigiza kuonyesha umma wao kwamba wamemuua wenyewe. Hata ukiangalia akina Obana na Clinton ile picha waliopiga wakionyeshwa ule mchezo hawaonyeshi surprised. THey knew what was coming.

    ReplyDelete
  4. Kibaki mbona hukumuweka, na wapizani nao ungewaweka maana ving'ang'anizi!!

    ReplyDelete
  5. weka nchi zote za africa bana
    Tanzania unaweza kuweka picha ya airbus

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...