Home
Unlabelled
GADO LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wewe Gado bwana mchokozi kweli kweli!
ReplyDeleteSi unaona wa Zambia ameutema mwenyewe pole pole, inafaa umpe hongera yeye na Mzee Kaunda aliyeanzisha sera ya kukubali matokeo bila mizengwe.
lakini Mugabe hafi. Mtakufa mtamuacha. Mbona mandela, watu wa kusini wanakula kago. Mzee Mwinyi bado yupo. Kuna mama ninafanya kazi nae Bibi yake ana miaka 120 na yuhai, wajukuu wanaondoka wanamwacha.
ReplyDeleteGaddafu actually ndie yuko kaburini. Amekuwa kama Osama amekufa/Yuhai. NIRP. Osama alikufa zamani ila wamarekani walifanya mchezo wa kuigiza kuonyesha umma wao kwamba wamemuua wenyewe. Hata ukiangalia akina Obana na Clinton ile picha waliopiga wakionyeshwa ule mchezo hawaonyeshi surprised. THey knew what was coming.
ReplyDeleteKibaki mbona hukumuweka, na wapizani nao ungewaweka maana ving'ang'anizi!!
ReplyDeleteweka nchi zote za africa bana
ReplyDeleteTanzania unaweza kuweka picha ya airbus