Dr Jane Goodall sits on the ground during the photo shoot in New York today

Dr Jane Goodall bumps onto an old friend and Tanzanian journalist Muhidin Issa Michuzi in New York today, as she was busy with her photo shoot. The two worked together over 20 years ago in Dar es salaam during which time Dr Goodall had been busy encouraging the youth to form conservation clubs in schools going by the name of Roots and shoots, and Michuzi was covering her all the time.
He was so happy to meet Dr Goodall again and he sides with the BOSTON GLOBE that has been quoted as saying: "To be with Jane Goodall is like walking with Mahatma Gandhi".
The only gesture of gratitude for what she has done to Tanzania and wildlife that Dr Goodall is asking is Tanzanians should come out and watch JANE'S JOURNEY.
New York details: www.ifccentre.com
Los Angeles details:www.laemmle.com
Seattle details: www.nwfilmforum.org
Uncle Michuzi,
ReplyDeleteKonozzz la nguvu ... hi fulana ya libeneke ... naomba uibadilishe au upate mpya ya namna hiyo hiyo. :) My respects to you Mr. Michuzi. Nazidi kukushuru kwa kutupa habari kila siku. Kama bado ulo NYC, tunaweza kukutana? Mdau New York.
Ankel Michuzi uko juu!
ReplyDeleteHuyo mama kafanya makubwa congo, sasa tatizo lako na wewe umesahau tena vishikizo, Kama matundu yamekuwa makubwa fanya tununue ingine, sisi tutachanga we muhimu.
EJR
Houston, TX
Wewe mdau wa Houston TX, hata hapa Tz Jane Goodall amefanya mengi makubwa. Hiyo story ya tabia ya chimpanzee akina Fifi na wenzake yote imeandikwa kwa utafiti aliofanya kwenye hifadhi ya Gombe.
ReplyDeleteAlipokuja Tz kwenye miaka ya sitini alikuwa kijana sana na tangu miaka hiyo ametumia muda wake kusoma tabia za wanyama wa jamii ya chimpanzee.
Kwa kweli mchango wake ni wa thamani kubwa.
Kweli kabisa.
ReplyDeleteMama Goodall na mumewe marehemu Derek Bryceson, aliyekuwa mmoja wa Wazungu pekee katika baraza la Mawaziri la Mwalimu Nyerere mwaka 1961 ni watu waliochangia sana kujenga Tanzania, kusaidia mali asili na utajiri wetu. Niliwahi kutembelea Gombe pale Kigoma mwaka 1982. Nilishangaa kuona namna wafanyakazi wa Kibongo walivyotaalamika kuhusu elimu hifadhi, mali asili, kujali mazingira na wanyama wa nchi hii tukufu. Mama huyu anastahili kila aina ya sifa. Utafiti aliofanya kuhusu sokwe mtu umesaidia kuelewa tabia za wanadamu na mambo ya kisaikolojia yanayotuhusu.
Na wewe Issa Michuzi shukrani kwa kutuletea habari zake. Dunia nzima Jane Goodall anaheshimika ile mbaya...kila kipindi chake katika runinga (hasa Majuu) kinapoonyeshwa... Tanzania... pia inatajwa na kusikika. Muhimu hilo!