Emirates Area Manager, Abdul Aziz Alhaj (C) being interviewed by the media when the airline  organised  a static tour for the  Airbus A340-500 plane in Dar es Salaam. To his right is Emirates Airport Services Manager in Dar es salaam Mr Abubakar Juma and to his left is Emirates  Senior Sales Officer Ms.  Aisha Seif
 Members of the press on board the airbus being given a tour of the plane

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. No viti or what?

    ReplyDelete
  2. Taa za barabarani ziliwaka au ilitua mchana?

    ReplyDelete
  3. Dege tumba hilo waarabu washayachoka ndio tunaletewa sie. Hivi sisi watanzania lini tutajifunza kuendana na standards za kimataifa. Airbus A340-500 model was produced commercially in 2002 na pengine ukiichunguza hiyo ndege imenunuliwa mwaka huo kwani Emirates kwa kuopoa vitu vipya hawako nyuma. 10 years later ndio tunaletewa sie Tanzania ndege hiyo na tunaambiwa ni ndege mpya ama kweli sisi ni nchi ya mitumba tu!!!

    ReplyDelete
  4. washamba wanangaa macho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...