Emirates Area Manager, Abdul Aziz Alhaj (C) being interviewed by the media when the airline organised a static tour for the Airbus A340-500 plane in Dar es Salaam. To his right is Emirates Airport Services Manager in Dar es salaam Mr Abubakar Juma and to his left is Emirates Senior Sales Officer Ms. Aisha Seif
Members of the press on board the airbus being given a tour of the plane
No viti or what?
ReplyDeleteTaa za barabarani ziliwaka au ilitua mchana?
ReplyDeleteDege tumba hilo waarabu washayachoka ndio tunaletewa sie. Hivi sisi watanzania lini tutajifunza kuendana na standards za kimataifa. Airbus A340-500 model was produced commercially in 2002 na pengine ukiichunguza hiyo ndege imenunuliwa mwaka huo kwani Emirates kwa kuopoa vitu vipya hawako nyuma. 10 years later ndio tunaletewa sie Tanzania ndege hiyo na tunaambiwa ni ndege mpya ama kweli sisi ni nchi ya mitumba tu!!!
ReplyDeletewashamba wanangaa macho
ReplyDelete