KASISI Kiongozi wa Kanisa la Anglican Zanzibar Father Micheal Hafidh akimkabidhi msaada wao kwa Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi ikiwa ni mchango wao kwa Wananchi waliofikwa na ajali hiyo.
Kasisi Kiongozi wa Kanisa la Anglican Zanzibar Father Michael Hafidh akitowa salamu za rambirambi kutoka kwa waumini wa Kanisa lake kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kukabidhi msaada wa Fedha shilingi laki sita kwa ajili ya Watu waliopata ajali ya Meli iliotokea 19-9-2011 bahari ya Nungwi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...