Mabalozi Wadogo wa nchi kadhaa, marafiki wamefika katika Ubalozi Mdogo wa Tanzania mjini Dubai kuungana na Watanzania katika kuomboleza msiba wa kuzama kwa meli Spice Island huko Zanzibar.







Mjumbe wa Kamati (TAE) Bw. Rashid Suba akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo kwenye ubalozi wetu huko Falme za Nchi za Kiarabu
Sheikh Muhiddin Abdulrahman akiweka saini katika kitabu hicho cha maombolezo
Balozi Mdogo wa Bangladesh
Balozi Mdogo wa Tchad
Balozi Mdogo wa Pakistan
Balozi Mdogo wa Mozambique
Balozi Mdogo wa Angola



Balozi wa Yemen |
Balozi Mdogo wa China
Balozi Mdogo wa Lebanon
Balozi Mdogo wa South Africa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...