Home
Unlabelled
kibonzo cha Kijasti Bikozz leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani tusifanye mchezo na Mungu, siku atakayotunyooshea kidole tu bila ya hata kutoa adhabu basi sisi binadamu tutakuwa wapi?
ReplyDeleteTuwache kumsingizia Mungu kwa kila ajali ambayo sisi wenyewe ndiyo wasababishaji wakubwa.
Hii nimeipenda hii.... watanzania ndo tulivyo, kila uzembe wetu tunamtupia Mwenyezi Wetu bila hata aibu yani, tunamfanya yeye ni wa kubeba misalaba yetu yote, ni ujinga huu, i real wish huo mkono wa malaika ungetokea kweli kabisa yani maishani mwetu tukajua ujinga wetu.
ReplyDeleteMdau MJ
India