Home
Unlabelled
kontena lapiga mwereka zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Lori halina uwezo wa kubeba kontane 2. Tembelea http://binjabir.blogspot.com ili tukupatie malori yenye uwezo wa kubeba kontane nyingi na kwa usalama zaidi.
ReplyDeleteUzembe wa Dereva, dereva anatakiwa ahakikishe kabla ya kuondoka container locks zote ameshazifunga ili hata ikitokea accident kwa bahati mbaya container halitaanguka au kuchomoka toka kwenye trailer na kusababisha maafa.Ajali kama hii ni uzembe na dharau ya dereva na mwenye gari.
ReplyDeleteje kama pembeni ya hilo Lori kungelikuwa na watu wanatembea kwa miguu si angesababisha vifo vya watu wasio kuwa na hatia?.
Inafaa mwenye gari na dereva wake wachukuliwe hatua kali kisheria.