Wananchi mbali mbali  Zanzibar wakiangalia gari aina ya Scania  lenye usajili no Z620AS lilokuwa limebeba makontenna  lililoanguka maeneo ya Kibanda maiti likielekea bandari ya Zanzibar picha na Yusuf Simai  Maelezo Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Lori halina uwezo wa kubeba kontane 2. Tembelea http://binjabir.blogspot.com ili tukupatie malori yenye uwezo wa kubeba kontane nyingi na kwa usalama zaidi.

    ReplyDelete
  2. Uzembe wa Dereva, dereva anatakiwa ahakikishe kabla ya kuondoka container locks zote ameshazifunga ili hata ikitokea accident kwa bahati mbaya container halitaanguka au kuchomoka toka kwenye trailer na kusababisha maafa.Ajali kama hii ni uzembe na dharau ya dereva na mwenye gari.
    je kama pembeni ya hilo Lori kungelikuwa na watu wanatembea kwa miguu si angesababisha vifo vya watu wasio kuwa na hatia?.
    Inafaa mwenye gari na dereva wake wachukuliwe hatua kali kisheria.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...