MITI HII MIWILI YENYE TABIA TOFAUTI KUTEGEMEA SHINA MOJA, MITI HII IPO MTAA WA MACHOMANE, MKOA WA KUSINI, KISIWANI PEMBA. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Nikienda kwenda machomane inshaallah ntaenda kuiangalia hiyo miti

    ReplyDelete
  2. Tafadhari tuonyeshe kwenye shina ili tuone hiyo hali ya shina moja uliyosema.

    ReplyDelete
  3. ankoli mi siamini mpaka utupigie picha ya shina au mti wote kwa mbali utuone shina na juu, nakuheshimu ankoli kwa utaalamu wako wa kamera.

    ReplyDelete
  4. You need to show us the shina,otherwise the picture doesn't make sense,na maana the habari heading don't relate with the picture supposed to share shina.

    ReplyDelete
  5. sawa wadau atuonyeshe shina

    ReplyDelete
  6. hiyo inaashilia kuwa hata binadamu wenye tabia tofaut au din tofaut waweza ishi pamoja na wakasaidiana pasipo mkwaluzano...

    ReplyDelete
  7. It could be a clever PHOTOSHOP job
    We need to see more
    Wakatabahu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...