Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad ambaye yuko India kwa ziara ya kikazi, amepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Waziri wa Maji, Prof. Mark Mwandosya ambaye yuko nchini India kwa matibabu katika Hospitali ya Apollo, iliyopo Hyderabad.Mheshimiwa Makamu wa Kwanza wa Rais amefuatana na Mhe. Nassor Ahmad Mazurui, Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko, Zanzibar; Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Mali, Zanzibar; Bw.Affar D. Maalim, Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo na Maliasili, Zanzibar; na Mh. John Kijazi, Balozi wa Tanzania, India
Home
Unlabelled
Maalim Seif Sharif Hamad akutana na Prof. Mwandosya nchini India
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
guys personally i know 3 ppl ambao wameenda india for matibabu waliporudi hawakukaa muda wakafariki to me these ppl wanatufanyia experiment in some cases, i wouldnt advice anyone to go there.
ReplyDeleteAnon wa kwanza, wagonjwa wengine waliokwenda India wamepona. Tatizo linakuwa kama umechelewa kwenda na kama ugonjwa wako ni wa uzeeni.
ReplyDeleteEvery one`s opinion counts !, msigombane, wote mpo sahihi !!!.
ReplyDelete