Waziri wa Katiba na Sheria,Mhe. Celina Kombani ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki akizungumza na wanaachi waliokuwa wakisubiri kuvuka Mto Kilombero kwa pantoni kuelekea Mahenge ambako ndio makao makuu ya Wilaya ya Ulanga na jimbo lake la Ulanga Mashariki.
Sehemu ya Shule Kongwe ya Sekondari ya Kwiro iliyopo Mahenge inavyoonekana.
nilisoma kwiro
ReplyDeletemwanakwiro mpoooooooooooo
ReplyDelete