Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad ambaye yuko India kwa ziara ya kikazi, amepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Waziri wa Maji, Prof. Mark Mwandosya ambaye yuko nchini India kwa matibabu katika Hospitali ya Apollo, iliyopo Hyderabad.Mheshimiwa Makamu wa Kwanza wa Rais amefuatana na Mhe. Nassor Ahmad Mazurui, Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko, Zanzibar; Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Mali, Zanzibar; Bw.Affar D. Maalim, Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo na Maliasili, Zanzibar; na Mh. John Kijazi, Balozi wa Tanzania, India

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. guys personally i know 3 ppl ambao wameenda india for matibabu waliporudi hawakukaa muda wakafariki to me these ppl wanatufanyia experiment in some cases, i wouldnt advice anyone to go there.

    ReplyDelete
  2. Anon wa kwanza, wagonjwa wengine waliokwenda India wamepona. Tatizo linakuwa kama umechelewa kwenda na kama ugonjwa wako ni wa uzeeni.

    ReplyDelete
  3. Every one`s opinion counts !, msigombane, wote mpo sahihi !!!.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...