Msanii  Thomas Amko wa Shirati wilayni Rorya akipuliza kibuyu (zumati) katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwenye uwanja wa michezo wa Shirati, Septemba 22,2011.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. bohy, inahitaji moyo jamaa ni mtaalamu

    ReplyDelete
  2. dah !! huyu jamaa kiboko, inaelekea huyu akizima mshumaa lazima uzimike...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...