Mdau Denis Stephen Kalewe akiwa na mai waifu wake Dr. Lynn Moshi mara baada ya kumeremeta na kuwakawaka katika kanisa la KKKT Azania Front jijini Dar hivi karibuni na baadaye kufuatiwa na tafrija fupi iliyofanyika SunSet Tembo hall-Mbezi beach.
Maharusi wakitoka kanisani mara baada ya kumalizika kwa ibada ya ndoa.
Maharusi wakiwa na ndugu zao.


Safi sana Denis, hongereni kwa kufunga ndoa, nawatakia baraka katika yenu ya ndoa.
ReplyDeletetehe tehe! koti la thuti fupiiiiii!!!! tehe tehe! Mwanamke mwanya!
ReplyDelete