Mdau Denis Stephen Kalewe akiwa na mai waifu wake Dr. Lynn Moshi mara baada ya kumeremeta na kuwakawaka katika kanisa la KKKT Azania Front jijini Dar hivi karibuni na baadaye kufuatiwa na tafrija fupi iliyofanyika SunSet Tembo hall-Mbezi beach.
Maharusi wakitoka kanisani mara baada ya kumalizika kwa ibada ya ndoa.
Maharusi wakiwa na ndugu zao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Safi sana Denis, hongereni kwa kufunga ndoa, nawatakia baraka katika yenu ya ndoa.

    ReplyDelete
  2. tehe tehe! koti la thuti fupiiiiii!!!! tehe tehe! Mwanamke mwanya!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...