Mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu Mzee  Benjamin William  Mkapa akizungumza wakati wa mkutano wa viongozi wa ngazi mbalimbali  katika kata za jimbo la Igunga leo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma na katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora.
Wazee wa Igunga wakimsikiliza Mzee Benjamin William Mkapa leo mjini Igunga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hawa wazee wa Igunga hawakuzimia tena kama siku ile?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...