Mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akizungumza wakati wa mkutano wa viongozi wa ngazi mbalimbali katika kata za jimbo la Igunga leo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma na katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora.
Wazee wa Igunga wakimsikiliza Mzee Benjamin William Mkapa leo mjini Igunga




Hawa wazee wa Igunga hawakuzimia tena kama siku ile?
ReplyDelete