Katibu Tawala wa mkoa wa Manyara,Claudio Bitegeko akiwatazama wacheza ngoma wa mjini Babati wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika mjini Babati kwenye uwanja wa Kwaraa.
Mkuu wa mkoa wa Manyara, Mh. Elaston Mbwillo, akiwahutubia wakazi wa mkoa huo kwenye kilele cha wiki ya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara kwa mkoa huo,yaliyofanyika juzi kwenye viwanja vya Kwaraa mjini Babati.
Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Manyara
Hivi mkisema ukweli kuwa ni maadhimisho ya UHURU WA TANGANYIKA kuna tataizo gani? Hii nchi ilikuwepo mpende msipende. Ni kama kufumba macho na kujifanya kuwa mambo yote usiyoyaona hayapo.
ReplyDelete