Katibu Tawala wa mkoa wa Manyara,Claudio Bitegeko akiwatazama wacheza ngoma wa mjini Babati wakati wa  maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika mjini Babati kwenye uwanja wa Kwaraa.
 

Mkuu wa mkoa wa Manyara, Mh. Elaston Mbwillo,  akiwahutubia wakazi wa mkoa huo kwenye kilele cha wiki ya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara kwa mkoa huo,yaliyofanyika juzi kwenye viwanja vya Kwaraa mjini Babati.
Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Manyara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi mkisema ukweli kuwa ni maadhimisho ya UHURU WA TANGANYIKA kuna tataizo gani? Hii nchi ilikuwepo mpende msipende. Ni kama kufumba macho na kujifanya kuwa mambo yote usiyoyaona hayapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...