Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Amina Masenza, akiongea kabla ya kuzindua rasmi `NMB Business Club` ikiwa ni chombo cha kuboresha mahusiano na mawasiliano kati ya NMB na wafanyabiashara wadogo na wa kati wanaokopa NMB.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii NMB Shy-Rose Bhanji akiwa na Mkuu wa Wilaya.
Wakitoka ukumbini.
Meneja wa NMB anayeshughulikia mikopo midogo midogo Mashaga Changarawe, akiongea na wateja wa NMB katika uzinduzi wa Klabu ya Wafanyabiashara.
sehemu ya washiriki ambao ni wateja wa NMB waliohudhuria uzinduzi huo uliokwenda sambamba na mafunzo maalum kwa washiriki hao jinsi ya kuboresha biashara zao na jinsi ya kujipatia mikopo zaidi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...