Maofisa wa Papazi wakiongozwa na Mkurugenzi wa Papazi, Hans Zakaria (kulia) wakipiga picha ya pamoja baada ya washindi hao kukabidhiwa vitita vyao.
Washindi wakionesha vitita vya kutoka kushoto ni Christine Mwegoha aliyepata dola 200, Zubeda Seif dola 1000 na Husna Maulid, warembo hawa wa Vodacom Miss Tanzania pia watafabya kazi nba Kampuni ya Papazi Entertainment & Promotion katika uchezaji Filamu.
Husna Maulid akionesha makali yake katika kucheza filamu na hapa akiigiza kuwa na machungu.
Mshiriki wa Vodacom Miss Tanzania Glori Lory, akicheza kipande chake na Yusuf Mlela.
Vodacom Miss Tanzania Top Model, Mwajabu Juma (kushoto) akijibizana na Princess Mashonobo.
Mrembo Zubeda Seif aliyejinyakulia kitita cha Dola 1000 akimnanga muingizaji nguli Jacquline Wolpa wakati wa kutafuta mrembo wa Vodacom Miss Tanzania aliye na kipaji cha uigizaji lililozaminiwa na Kampuni ya Papazi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...