Rais Jakaya Kikwete akihutubia kwenye mkutano wa DICOTA
 Rais Jakaya Kikwete akiwa amekaa na Balozi wa Tanzania,Nchini Marekani na
Mexico,Mh.Mwanaidi Maajar
Rais
Jakaya Kikwete (kulia) akikagua wajasiriamali waliokuja kutoka Tanzania na sehemu mbali mbali
Marekani
 Rais Jakaya Kikwete akiongea na Wajasiliamali wa Nyumba poa kwenye ukumbi huo kunakofanyika mkutano wa DICOTA,Nyumba poa ni mradi wa kujenga nyumba Tanzania kwa bei nafuu kupitia mradi wa Watanzania walioishi hapa miaka mingi na kuamua kurudi nyumbani kusaidia Watanzania wenzao kujenga nyumba kwa masharti nafuu 
 Rais Jakaya Kikwete akiongea na wajasiliamali wanaoshughulika na maswala ya utalii
PICHA ZAIDI BAADAE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. tulisema tutaandamana maandamano mbona hatuyaoni?unafiki mwingi wa nn hongera raisi wetu kazi yako inaonekana mungu akujalie

    ReplyDelete
  2. wasio na shughuli ndo walitaka kuandamana

    ReplyDelete
  3. WaTZ walioko ughaibuni wakiweza kuwasaidia jamaa zao tu basi watakuwa wamechangia sana maendeleo ya TZ. Aidha, wale ambao wameshapata makaratasi wakijenga nyumba tu TZ basi watakuwa wamechangia maendeleo.
    Mdau
    Ukerewe

    ReplyDelete
  4. Go Nyumba Poa!!

    www.erklo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...