wanafunzi wa kitanzania tusomao Kenya, University of Eastern Africa,Baraton, tunachukua furasa hii kuwapa pole watanzania wote,ndugu,jamaa na marafiki,majeruhi na waathirika wa ajali ya meli ya SPice Icelanders iliotokea huko Zanzibar.Ingawa tuko mbali na nyumbani,dua na sala zetu ziko pamoja nanyi.

tumeshtushwa na kuhuzunishwa kwa habari hizi.huu ni msiba wa kitaifa, tunaomba mwenzi Mungu atutie Nguvu katika kipindi hii kigumu. Tudumishe amani,upendo,na mshikamano.

salamu toka Kenya,

Wonder,Noel,Danny

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...