Kama mwanafunzi mtanzania ninaesoma hapa Korea, naomba kuungana na wenzangu wote ndani ya nchi yetu Tanzania na nje ya mipaka yetu katika kuomboleza na kutoa mkono wa pole kwa wale wote walioguswa na janga hili.
kwa hakika ni msiba wetu sote Watanzania na tunawaombea makazi mema peponi waliokufa, na walionusurika Mungu awajaalie wapone haraka..
amin.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...