Kwa niaba ya Wanafunzi wote na Wanaosoma katika Chuo kikuu cha Azhar Sharief Nchini
Misri Tunapenda kuungana na Watanzania wenzetu kwa Msiba huu uliotupata wa Ajali ya Meli huko Zanzibar.
Tunamuomba Mungu awapokee mapokezi mema ndugu zetu waliotangulia mbele ya Haki.
atupe Subra katika Msiba Huu hasa Ndugu zetu wale walio ondokewa na Ndugu zao wa Karibu.
Awape Nafuu ya haraka wale waliokuwa Hospital.
INNALLILLAH WAINA ILLAIH RAAJ3UNI
Ghalib N Monero
Kwn.Wanafunzi wote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...