Wanafunzi kutoka India Bangalore tunaskitishwa sana na habari tulizozipata kuhusu ajali ya meli MV Spice Islander, japo kuwa tuko mbali lakini dua zenu na sala zetu zipo pamoja na waliotangulia mbele ya haki, Mungu azilaze roho zao pahali pema peponi na Mungu awape subra familia zilizopoteza watoto, wanawake na vijana wao na ;pia tunawatakia waliathirika wapate afweni haraka sana...

Ahsante sana
Uthman Yunus Turky

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...