NAPENDA KUTOA SALAMU ZA POLE KWA WATANZANIA WOTE KUFUATIA AJALI YA MELI ILIYOPINDUKA NA KUZAMA KATIKA BAHARI YA HINDI NA KUSABABISHA VIFO VYA ABIRIA WALIKUWEMO KATIKA MELI HIYO WAKIWA SAFARINI.
MSIBA HUU NI WETU SOTE. KWA MLIO POTEZA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POLENI SANA & MAY THEIR SOULS R.I.P. WALIO UMIA NAWAOMBEA WAWEZA KUPONA HARAKA. DUNIANI HAPA TUNAPITA HATUJUI YAKESHO AU LIJALO LEO HII! TUWE TAYARI NA TUZIDI KUOMBEANA.
MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
JESTINA GEORGE - www.missjestinageorge.blogspot.com

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...