![]() |
MAREHEMU DOROTY HUSSEYN CHOMBA |
Hatimaye yamepita masaa, siku, wiki na sasa umetimia mwezi mmoja tangu mama yetu mpendwa DOROTY HUSSEYN CHOMBA ulipoitwa kwenye makao yako ya milele.
Daima upendo wako, ucheshi, sauti yako, ushauri na busara zako zinaendelea kukumbukwa na ndugu na marafiki.
Unakumbukwa na wanao Jamila, Claus, Kuruthum, Juma na Lulu. Pia unakumbukwa na wadogo zako Luiza, Betty, Salome, Grace, Sophia, Christopher na Angela.
Tunapenda kuwaalika ndugu, jamaa na marafiki katika misa maalumu itakayofanyika nyumbani kwa marehemu mwenge tarehe 30/09/2011 saa 4:00 Asubuhi.
Tunatanguliza shukurani zetu kwa watu wote walioshiriki na kutufariji katika kipindi cha chote cha msiba wa mama yetu mpendwa DOROTY .
Ohhhh pole mama sote tu njia moja.
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya marehemu pema peponi.
Amen