Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya mawasilianao Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma leo akiongea leo katika jengo la Mawasiliano House barabara ya Sam Nujoma road jijini Dar es salaam katika hafla ya kutoa leseni kwa vituo binafsi vya redio
Mmiliki wa SPORT Fm 91.2 Abdallah Idrisa Majura akipokea leseni ya umiliki wa kituo hicho kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya mawasilianao Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma leo. Majura ambaye amewahi kufanya kazi Radio Tanzania, ITV/Radio One Stereo na BBC ni mtangazaji na mwandishi wa habari wa kwanza nchini Tanzania kumiliki kituo cha Radio.
Mmiliki wa SPORT Fm 91.2 Abdallah Idrisa Majura akiangalia leseni ya umiliki wa kituo chake alichopokea toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya mawasilianao Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma leo.
Congratulations, I really enjoyed this article. That is nice when you find something that is not only informative but entertaining. Awesome!
ReplyDeleteAbdallah Majura; one of top sport presenters. Kwa kweli ataiburudisha jamii.Najaribu kukumbuka enzi zake wakati anatangaza mpira RTD; enzi zake.Huyu ni legend; kama alivyo Uncle J; Julius Nyaisanga.Well done Mr Majura.
ReplyDelete