Kushoto ni Balozi  wa Africa Union Nchini Marekani,Amina Salum Ali akiwa na mwanae kwenye hafla hiyo ya INVEST TO AFRICA iliyofanyika Marriott Wardman Pak Hotel,Washington,DC Alhamisi Oct 6,2011
MC kwenye mkutano huo,Julia Wilson
Stephen Heyes akiongea jambo kwenye hafla hiyo
Kulia ni Kwame akiongea jambo kwenye hafla  hiyo huku MC Julia Wilson akiandika jambo.atakalozungumza badae.
Kulia ni Balozi wa Congo Nchini Marekani nae alipata wasaa wakuchangia jambo kwenye hafla hiyo
Kushoto ni Van Rex Gallard ambae ni Vice President wa kamuni ya Boeing Commercial Airlines pamoja na mfanyabiashara kutoka Nigeria Bw.,Arumeni Johnson ambae amenunua ndege mbili aina ya Boeing 747,hapa wakitia saini ya makabidhiano ya ndege hizo kwenye hafla hiyo ya INVEST TO AFRICA,
Van Rex Gallard(shoto)akimkabidhi zawadi Mfanyabisahara Arumeni Johnson.
Evastus Mwencha,makamu mwenyekiti wa African Union akiongea kwenye hafla hiyo ya INVEST TO AFRICA
Naibu Waziri wa Mashauri ya Nchi za Kigeni,Kenya Mh.Richard Onyonka nae alikua ni mmoja ya wageni waliokuwepo kwenye hafla hiyo.
Kushoto ni Dkt Hamza Mwamoyo wa VOA akiongea jambo na Bw. Jaha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kaka,

    Yaani Mfanyabiashara tu mtu binafsi ananunua BOING mbili sie Nchi inashindwa kununua hata ka TWIN OTA tu!

    Khaah!

    ReplyDelete
  2. ghafla???

    ReplyDelete
  3. Sio ghafla ni hafla.

    ReplyDelete
  4. Jamani hata lugha yetu nayo inagongana? neno sahihi ni HAFLA na siyo GHAFLA

    ReplyDelete
  5. Michuzi sio Ghafla....ni khafla...jamani hata kiswahili kinatushinda???

    ReplyDelete
  6. Ankal wako kwenye GHAFLA au HAFLA!?

    ReplyDelete
  7. Wanaijeria wizi mtupu, afrika nani ana pesa ya kununua ndege kama sio wizi? Wananchi wanakufa njaa, hakuna maji wala umeme wala makazi ya kuishi halafu unaniambia kuna raia anauwezo wa kununua boeing. Wizi mtupu.I am sick to my stomach.

    ReplyDelete
  8. Halafu wewe Ankal na wenzako mkikosolewa na kisha mkasahihisha, inakuwa ni uungwana kukubali mlikosea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...