Tume ya Uchaguzi iliyoendesha uchaguzi mdogo wa wabunge katika Jimbo la Igunga mkoani Tabora,imemtangaza Dkt. Dalali Kafumu (pichani) kuwa mshindi wa Ubunge wa Jimbo Igunga baada ya kuwashinda wagombea wenzake saba wa vyama vya Upinzani.
Matokeo hayo yametangazwa muda mfupi uliopita na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Bw Protase Magayane . Hivi sasa viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na wanachama wake wapo katika uwanja wa Sokoine kusherehekea ushindi huo.
Matokeo hayo yametangazwa muda mfupi uliopita na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Bw Protase Magayane . Hivi sasa viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na wanachama wake wapo katika uwanja wa Sokoine kusherehekea ushindi huo.
CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KIMEJIZOLEA JUMLA YA KURA 26,488 NA KUSHINDA KITI CHA UBUNGE KILICHOACHWA WAZI NA MH ROSTAM AZIZ ALIYEJIUZULU HIVI KARIBUNI.
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KIMESHIKA NAFASI YA PILI KWENYE KINYANG'ANYIRO HICHO KWA KUPATA JUMLA YA KURA 23, 260.
CHAMA CHA WANANCHI (CUF) KIMESHIKA NAFASI YA TATU KWA KUJIPATIA JUMLA YA KURA 2104.
KWA USHINDI HUO MGOMBEA UBUNGE WA CCM DR DALALY KAFUMU NDIYE MRITHI MTARAJIWA WA ROSTAM AZIZ.
CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE YAMEWASHUKA BWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA SASA WANA CCM KAZI MOJA KUKIIMALISHA CHAMA TUSIWAPE NAFASI WAPINZANI KUTUINGIZIA FITINA NA WANANCHI WAO KILA KUKICHA KAZI YAO NI HIYO SASA MWENDO MDUNDO KWA KUWATUMIKIA WANA IGUNGA YAANI MMETUKOSHA NASI TULIO UGHAIBUNI NA WAPENZI NA WAFUASI WA CCM mdau richie wa ughaibuni
ReplyDeleteKwa mtazamo wangu, CHADEMA wameshinda kichama kuliko CCM.
ReplyDeleteCHA DEMA WAMECHAKACHUA CHAKACHU CHAKACHU CHA. MIMI SIO MWANA CCM HATA KIDOGO. LAKINI KWA KITENDO CHA CHADEMA CHA KUMDHALILISHA NDUGU YANGU FATMA KIMARIO THIS IS WHAT THEY DESERVE. A HUMILIATION.
ReplyDeleteNakuunga mkono ndugu yangu hapo juu Chadema kama chama cha siasa kimeshinda na CCM kama dola imeshinda pia kwani huwezi kuwa na mchezo
ReplyDeleteambao wewe kama CCM ukawa refarii, ukawa mchezaji na pia jaji.
chadema ilikuwa ikipambana na tasisi za dini,dola ,serikali,na vyama vya siasa.kwa mtizamo wangu from nothing to 23,000 ,cdm inaimarika!!!!! tusubirin 2015
ReplyDeletechadema itakufa kabda ya 2015 wataishiwa mafuta kama cuf
ReplyDelete