WANAJOGGING WAKIFANYA "WARM UP" KABLA YA KUANZA MBIO
"Warm Up" husaidia kuuweka mwili tayari kwa ajili ya mazoezi. Vilevile husaidia kuongeza kasi ya usambazaji wa damu katika viungo pamoja na misuli ya mwili pamoja na kuupa mwii joto kwa matayarisho ya mazoezi utakayofanya ambayo husaidia kulainisha viungo vyako vya mwili, hata hivyo husaidia kulainisha mishipa inayopeleka damu kwenye moyo na kusaidia kulinda misuli isipate madhara pamoja na mifupa.
pia, husaidia kuongezeka upatikanaji na usambazaji wa hewa ya oksijeni mwilini hasa kwenye misuli na mishipa ya fahamu.Tembelea libeneke la Biafra Sports Club kwa picha zaidi kwa kubofya hapa.



Duuh! Kazi ipo hapa!
ReplyDeleteLakini hamna ushaidi ya kwamba warm up inafanya mambo yote hayo uliyosema yana faida kwa mwili. Hamna vielelezo au research inayoonyesha warm up inafaida kwa mwili. Ndiyo, miaka mingi watu wanafanya warm kabla ya mechi au mbio lakni hamna tofouti na mtu yule asiyefanya warm up. Ni mwangalio wangu tu.
ReplyDelete"NIMEIPENDA" HIYO WARM UP YA KUVAA USHUNGI NA KANGA KAMA MAVAZI YA MAZOEZI
ReplyDelete