WANAJOGGING WAKIFANYA "WARM UP" KABLA YA KUANZA MBIO

"Warm Up" husaidia kuuweka mwili tayari kwa ajili ya mazoezi. Vilevile husaidia kuongeza kasi ya usambazaji wa damu katika viungo pamoja na misuli ya mwili pamoja na kuupa mwii joto kwa matayarisho ya mazoezi utakayofanya ambayo husaidia kulainisha viungo vyako vya mwili, hata hivyo husaidia kulainisha mishipa inayopeleka damu kwenye moyo na kusaidia kulinda misuli isipate madhara pamoja na mifupa.

pia, husaidia kuongezeka upatikanaji na usambazaji wa hewa ya oksijeni mwilini hasa kwenye misuli na mishipa ya fahamu.Tembelea libeneke la Biafra Sports Club kwa picha zaidi kwa kubofya hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duuh! Kazi ipo hapa!

    ReplyDelete
  2. Lakini hamna ushaidi ya kwamba warm up inafanya mambo yote hayo uliyosema yana faida kwa mwili. Hamna vielelezo au research inayoonyesha warm up inafaida kwa mwili. Ndiyo, miaka mingi watu wanafanya warm kabla ya mechi au mbio lakni hamna tofouti na mtu yule asiyefanya warm up. Ni mwangalio wangu tu.

    ReplyDelete
  3. "NIMEIPENDA" HIYO WARM UP YA KUVAA USHUNGI NA KANGA KAMA MAVAZI YA MAZOEZI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...