Beki wa JKT Oljoro (shoto) akichuana na Mshambuliaji wa Yanga, Idrissa Senga katika mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika leo uwanja wa Zama Chamazi ambapo Yanga ilishinda kwa bao 1-0
 Mshambuliaji wa Yanga, Jerryson Tegete akimili mpira huku akizongwa na beki wa KJKT Oljoro, Marcos Rafael Ndeheli
Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima (kulia) akichuana na beki wa JKT Oljoro, Omar Juma.
Golikipa wa Yanga, Yaw Berko akijaribu kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake
 Mshambuliaji wa Yanga, Keneth Asamoah kimtoka beki wa JKT Oljoro, Omar Juma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Asante sana Vijana wa Jangwani naona sasa mmeamua kuamka.... simba kaeni chonjo, pointi ni chache mlizotuzidi msijitambe yasije yakawakuta kama ya mwaka jana....

    ReplyDelete
  2. kiwanja kimetulia majani mpaka unafurahia.

    ReplyDelete
  3. dah! kusema ukweli Yanga inatisha. maana muziki wa jana ulinoga kweli kweli! sasa hao wauza utumbo na wataalamu wa majungu wajiandae na fitna kichapo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...