Beki wa JKT Oljoro (shoto) akichuana na Mshambuliaji wa Yanga, Idrissa Senga katika mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika leo uwanja wa Zama Chamazi ambapo Yanga ilishinda kwa bao 1-0
Mshambuliaji wa Yanga, Jerryson Tegete akimili mpira huku akizongwa na beki wa KJKT Oljoro, Marcos Rafael Ndeheli
Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima (kulia) akichuana na beki wa JKT Oljoro, Omar Juma. |
![]() |
Golikipa wa Yanga, Yaw Berko akijaribu kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake |
Mshambuliaji wa Yanga, Keneth Asamoah kimtoka beki wa JKT Oljoro, Omar Juma
Asante sana Vijana wa Jangwani naona sasa mmeamua kuamka.... simba kaeni chonjo, pointi ni chache mlizotuzidi msijitambe yasije yakawakuta kama ya mwaka jana....
ReplyDeletekiwanja kimetulia majani mpaka unafurahia.
ReplyDeletedah! kusema ukweli Yanga inatisha. maana muziki wa jana ulinoga kweli kweli! sasa hao wauza utumbo na wataalamu wa majungu wajiandae na fitna kichapo!
ReplyDelete