Maelfu ya wananchi washiriki katika kusindikiza jeneza lenye mwili wa Marehemu Maulid Hamad Maulid,(mwanahabari) na kuelekea kuzikwa Bumbwini Wilaya kaskazini B Unguja jana,(19/10/2011).
Waumini wa Dini ya kiislamu wakimsomea hitma marehemu Maulid Hamad Maulid, katika msikiti wa Mombasa kwa mchina,ambae alifariki juzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Unguja,(19/10/2011). Picha na Ramadhan Othman




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...