Mbunge wa Jimbo la Ruangwa ambae pia ni Naibu Waziri Tamisemi-Elimu..Akikabidhi  kwa Mkuu wa wilaya ya Ruangwa,Bi Hawa Mchopa  Magodoro 100 Kwa ajili ya Hospital ya Wilaya na Zahanati wilayani humo
 Mbunge wa Jimbo la Ruangwa ambae pia ni Naibu Waziri Tamisemi-Elimu,Kassim Majaliwa akikabidhi  kwa Mkuu wa wilaya ya Ruangwa,Bi Hawa Mchopa akikabidhi vifaa vya maabara kwa shule za sekondari na vitabu kwa shule za msingi za wilaya hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Ruangwa ambae pia ni Naibu Waziri Tamisemi-Elimu,Kassim Majaliwa akipata maelezo ya Matumizi ya Meza ya Maabara,Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa,Bi Hawa Mchopa.
Wasanii nao hawakuwa nyuma katika kuburudisha wananchi wa Ruangwa katika Hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya shule pamoja na Hospital vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa,Kasim Majaliwa.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria hafla hiyo.Picha na ,Abdulaziz Video,Lindi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ndugu zangu kuuliza sio ujinga mimi nahitaji kujua,munisaidie RUHANGWA NI WAPI yani ni mkoa wa wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...