Mbunge wa Jimbo la Ruangwa ambae pia ni Naibu Waziri Tamisemi-Elimu..Akikabidhi kwa Mkuu wa wilaya ya Ruangwa,Bi Hawa Mchopa Magodoro 100 Kwa ajili ya Hospital ya Wilaya na Zahanati wilayani humo
Mbunge wa Jimbo la Ruangwa ambae pia ni Naibu Waziri Tamisemi-Elimu,Kassim Majaliwa akikabidhi kwa Mkuu wa wilaya ya Ruangwa,Bi Hawa Mchopa akikabidhi vifaa vya maabara kwa shule za sekondari na vitabu kwa shule za msingi za wilaya hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Ruangwa ambae pia ni Naibu Waziri Tamisemi-Elimu,Kassim Majaliwa akipata maelezo ya Matumizi ya Meza ya Maabara,Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa,Bi Hawa Mchopa.
Wasanii nao hawakuwa nyuma katika kuburudisha wananchi wa Ruangwa katika Hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya shule pamoja na Hospital vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa,Kasim Majaliwa.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria hafla hiyo.Picha na ,Abdulaziz Video,Lindi


ndugu zangu kuuliza sio ujinga mimi nahitaji kujua,munisaidie RUHANGWA NI WAPI yani ni mkoa wa wapi?
ReplyDelete