Mhe. Injinia Stella Manyanya akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Rukwa Mhe. Daniel Ole Njoolay. Aliwaasa wanarukwa kujiamini na kuunganisha nguvu zao ili waweze kuwekeza katika rasilimali nyingi zinazopatikana mkoani hapo zikiwepo utalii, uvuvi, kilimo, madini, ufugaji na biashara.
Mhe. Injinia Stella Manyanya akisaini nyaraka muhimu za makabidhiano wakati alipokabidhiwa rasmi majukumu ya kuuongoza mkoa wa Rukwa, anayeshuhudia ni aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mhe. Daniel Ole Njoolay.
Picha na Hamza Temba, Afisa Habari Rukwa


Hivi huu mtindo wa mtu mmoja kuwa nyazifha zaidi ya moja utaisha lini hapa TZ. Mbona tuna wasomi wengi tu??
ReplyDeleteNyazifa nyengine hulipwi mshahara. Hakuna mshahara wa mwenyekiti wa bodi!!
ReplyDeleteAnkal kiswahili cha engineer ni mhandisi.
ReplyDeleteTz kero tupu hakuna tunalolijua katika administrating approach.Yaan mkuu wa mkoa hawezi kuwa mbunge mzuri coz atakuwa anachanganya uchama wake wa ccm wakati watu anaowaongoza ni wa vyama vyote pamoja na wale wasikuwa na vyama.Tubadilikeni jamani.Ewe Katiba mpya tuokoe sisi waja wako.
ReplyDelete