Wengi wamekuwa wakimsikia tu Marijani Rajabu angalia katika video hii iliyoletwa na Mzee John Kitime wakati Mzee Mzima Marijan akiwa jukwaani akiimba na kupiga gitaa.
Home
Unlabelled
Muone Marijani Rajabu akiwa jukwaani 'live'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Wakati huo 'stage shows' walikuwa wanavaa nguo 'kubwa kubwa'
ReplyDeletenimependa hii saaana. sasa watanzania tunaanza kuona mbele kwa kufanya reserch kama hizi. michuzi angalia na wewe ufanye mambo kama haya. kuna vitu kama football, michezo, vyama vya siasa nk.
ReplyDelete